logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kieleweke Jimal sio mume wangu-Amira apasua mbarika

Mfanyabiashara huyo amewataka watu kuacha kumhusisha na Jamal kwani yeye sio mume wake

image
na Radio Jambo

Burudani23 November 2021 - 12:30

Muhtasari


  • Mfanyabiashara huyo amewataka watu kuacha kumhusisha na Jamal kwani yeye sio mume wake

Mwenyekiti wa Chama cha Matatu cha Nairobi Jamal Ibrahim maarufu kama Jimal Roho Safi amenaswa kwenye video pamoja na aliyekuwa mpenzi wake Amberay.

Video hiyo imewafanya wengi kumwita Amira, ambaye amejibu kwa kudai kuwa yeye na Jimal hawako pamoja tena.

 Mfanyabiashara huyo amewataka watu kuacha kumhusisha na Jamal kwani yeye sio mume wake tena na anachofanya si kazi yake tena.

"Ninashughulikia hili kwa mara ya mwisho kabisa!! acha kunihusisha na Jamal. Unahitaji kuacha kuniburuza kwa kila suala ambalo unaona huko nje, sisi hatuyuko pamoja,

Mimi sio mke wake, yeye sio mume wangu,  mimi sio shida yake, yeye sio shida yangu tena. Ninawajibika tu na kuwajibika kwa watoto wangu!! KIELEWEKE!!" Amira Alisema.

Watatu hao waligongwa vichwa vya habari mara tu baada ya Jimal Kumuoa mwanasoshaolaiti Amber Ray, huku wakizidi kuwa gumzo ya mjini baada ya kuachana tena.

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved