Lucy Natasha amewaacha wakenya wakimsifu kwenye mitandao ya kijamii kwa wakati mwingine.
Hii ni baada ya kuvishwa petet ya uchumba na mpenzi wake, kitu ambacho kimeinua mdahalo mitandaoni.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Lich alipakia pcha za hafla hiyo, huku akidai kwamba amempata ambaye moyo wake unampenda.
"Nimempata ambaye moyo wangu unampenda," Aliandika Natasha.
Baadhi ya mashabiki walimpongeza huku wengi wakitaka kujua kuhusu mchumba wake.
Na hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
shiruwagpofficial: Congratulations 👏🏽 🎊 Rev. You're Blessed 🙌
evelynwanjiru_: Wow congratulations Rev... @revlucynatasha 👏
munalove100: Mama kwenye wale maids Naomba nafasi yangu isikosee 😂
kopano_grace: Congratulations women of God ❤️🔥
doorayswambo: Congrats woman of God ❤️ I'm so happy for you
adaehimoses: Congratulations woman of God❤️
isaiahlangat: Congratulations @revlucynatasha 🥳 👏
aliyafaith001: ❤️❤️❤️❤️ i love you Ma ❤️❤️ ❤️ congratulations