Siwezi kufanya ngono na mwanamume ambaye ana mpenzi-Huddah Monroe akiri

Muhtasari
  • Kulingana na Huddah wanaume wengi wakiwa wadogo hawajawahi onyeshwa upendo wa kweli
Screenshot.from.2019.10.17.12.37.26
Screenshot.from.2019.10.17.12.37.26

Mwanasosholaiti marufu Huddah Monroe, amekuwa akiwaacha mashabiki na hisia tofauti baada ya kuwakejeli na kuwasuta wanaume ambao hawajakuwa wakitosheka na mwanamke mmoja.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Huddah amedai kwamba hawezi fanya ngono na mwanamume ambaye ana mpenzi mwingine kwani hilo ni kujidharau.

"Siwezi fanya ngono na mwanamume ambaye ana mwanamke au mpenzi nyumbani kwake, siwezi fikiria kutoheshimu, wengi wenu mna nguvu kama hiyo mimi sina."

Kulingana na Huddah wanaume wengi wakiwa wadogo hawajawahi onyeshwa upendo wa kweli huku hisia zao zikiumizwa.

"Wanaume wenhi haswa waafrika hawajahi pendwa vizuri wakati walipokuwa wachanga,hsia zao ziliepukwa na kuambiwa wanapaswa kuwa wanaume

Ndio maana huwa wana lala na wanawake weni kwa uthibitishosio biolijia wanaume wanaweza jitengeneza uthibitisho ni dawa ghali sana

Namjua mwanamume ambaye ameumia moyo nikiona mmoja,mimi sio jehova lakini naweza jaribu kukusaidia, lakini unapaswa kuuliza usaidiz,"Huddah alisema.