Huwezi kuoa au kulala na wanawake wote-Ujumbe wake Jimal uliozua gumzo mitandaoni

Muhtasari
  • Ujumbe wake Jimal uliozua gumzo mitandaoni

Mfanyibiashara Jimal Roho Safi alifahamika na kugonga vichwa vya habari mwaka wa 2021, baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanasosholaiti Amberay.

Uhusiano wa waiili hao ulidumu kwa siku chache, huku mkewe JImal akidai kupewa talaka kutokana na kutoheshimiwa na mumewe.

Akiwa kwenye mahojiano na Radiojambo,Amira alidai kwamba alijua kuhusu uhusiano wa mumewe na Amber kupitia mitandao ya kijamii.

JImal ameibua hisia mitandaoni, kati ya mashabiki baada ya kuwapa ushauri kwamba hawawezi kulaa na wanawake wote ambao wanapatana nao.

Pia aliwashauri na kusema kwamba wanawake wazuri  wamo kila mahai.

"Huwezi kuoa au kulala na wanwake wote wanaokujia, wanawake waremboo watakuwa  hapo daima,utakutana na warembo kila siku, jifunze kuwa na nidhamu na kujidhibiti," Alisema Jimal.

Mahabiki wengi waliona ujumbe wake kuwa kinaya, huku baadhi yao wakimwamia kwamba ujumbe huo ni wake.

Haya hapa baadhi ya maoni yao;

kamurlicious_betty: Hii message ni yako aki ungesoma polepoleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

_deivan_: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚una preach something that you don't practiceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bwana mkunaji wa amber πŸ˜‚πŸ˜‚where is your wife πŸ˜‚πŸ˜‚

wanjiru_mbugua_keLook who's talkingπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....πŸ™Œ

theevescollection: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ you are motivating yourself

abdikhafarissack: Bwana mkunaji mwenyewe anatupea some advice.. LoLπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚