Kaa na mwanamke mmoja mpate pesa pamoja- Huddah Monroe awashauri wanaume

Muhtasari
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Huddah Cosmetics amewasihi wanaume kukaa na mwanamke mmoja na kutafuta pesa pamoja
Screenshot.from.2019.10.17.12.37.26
Screenshot.from.2019.10.17.12.37.26

Mwanasosholaitii Huddah Monroe kupitia kwenye ukurasa wake wa instaram, katika sekta ya hadithi za instagram, amekuwa akiwashauri wafuasi na maashbiki wake kwa njia moja au nyingine.

Huddah anafahamika sana kupitia usemi wake, na kazi yake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Huddah Cosmetics amewasihi wanaume kukaa na mwanamke mmoja na kutafuta pesa pamoja.

Alichapisha video na kuandika kwenye hadithi zake za Instagram;

"Kuzimu nini! Wanaume wengi wanaofuata pu$$y hawajafanikiwa. Ubadilishaji wa kijinsia huwasaidia wanaume kufanikiwa. Kaa na mwanamke mmoja. Pata pesa zako. Kisha jiburudishe ikihitajika," Aliandika Huddah.

Ni tabia ambayo imekuwa ikienea sana kwa wanaume kuwatafuta wanawake wengi au mpango wa kando kwa njia ya kwamba anataka kujiburudisha

Kama Huddah alivyosema kuwa wanaume hao hawafanikiwi maishani kwani hawana mwelekeo wa maisha yao.

Swalu kuu ni je mwanamume anaweza kuosheka na mwanamke mmoja, na mwanamke anaweza ishi bila kumtegemea sponsor?

Toa maoni yako;