Lala salama!Anne Kansiime afiwa na baba mzazi

Muhtasari
  • Kifo chake kinajiri miezi chache baada ya mchekeshaji huyo kumpoteza mama yake
kansiime
kansiime

Mchekeshaji maarufu kutoka Uganda Anne Kansiime yuko kwenye maombolezi baada ya kumpoteza baba yake mzazi.

Habari za kifo chake baba yake Kansiime zilitangazwa na mwnaablogu maarfufu nchini Uganda.

Kifo chake kinajiri miezi chache baada ya mchekeshaji huyo kumpoteza mama yake.

Kansiime hajapakia chochote kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha bab yake, bali mashabiki wametuma jumbe za rambirambi na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

akello.jackie: My very sincere condolences to you and your family.

kiwanukaaaron: 😢😢😢😢😢 so sorry ka maama. Mukama akugumye dear..R.I.P dad..

hellenzeshy: Sorry for her dad bmb