'Nitakupeza,'Anne Kansiime amuomboleza baba yake

Muhtasari
  • Anne Kansiime amuomboleza baba yake
kansiime
kansiime

Mcheshi Anne Kansiime anaomboleza kufuatia kifo cha baba yake,ambaye aliaga dunia siku ya Alhamisi.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Kansiime alimshukuru baba yake kwa kumuonyesha njia ya jinsi ataenda kumpeza.

"Asante kwa kutuonyesha jinsi tunaenda kukukosa," Aliandika Kansiime.

Kupitia kwenye chapisho lingine alisema kwamba;

"Mahusiano ya mbali ni ngumu sana,baba yangu ameenda kuwa na mama yangu."

Kifo cha baba Kansiime kinajiri miezi chache baada ya msanii huyo kumpoteza mama yake mzazi.

Habari za kifo chake baba yake Kansiime zilitangazwa na mwnaablogu maarufu nchini Uganda.