logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Drake aacha kuwafuata Rihanna na A$ap kwenye Instagram

Drake  ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa Rihanna ameokana ku-unfollow wapenzi hao huku wanamitandao wakienza tetesi kwamba amekerwa na maamuzi ya Rihanna kuwa na ujauzito wa A$ap

image
na Radio Jambo

Burudani02 February 2022 - 11:24

Muhtasari


  • • Rapa Drake ameacha kuwafuata Rihanna na  A$ap ambao walitangaza kuwa  wanatarajia mtoto wao wa kwanza  mwaka huu 2022
  • • Drake  ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa Rihanna ame - unfollow wapenzi hao
  •  
Rapa Drapa

Rapa Drake ameacha kuwafuatialia Rihanna na  A$ap kwa Instagram ambao walitangaza kuwa  wanatarajia mtoto wao wa kwanza  mwaka huu 2022.

Drake  ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa Rihanna ame - unfollow wapenzi hao huku wanamitandao wakianza tetesi kwamba amekerwa na Rihanna kuwa na mimba ya A$ap.

Jumatatu Rihanna na mpenzi wake walitangaza hadharani kuwa  wanatarajia kifungua mimba wao na kuonekana wakiwa na furaha isiyokifani.

Habari hizo za ujauzito wa Rihanna zilizogonga vichwa vya habari kwenye majukwaa yote ya habari.

Habari za Rihanna  zimetrendi kwa siku tatu mtawalia pale twitter.

Rihanna ni msanii wa kike  anayefuatiliwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii na pia ngoma zake zinasikizwa dunia kote.

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved