'Namshukuru Mungu,'Mwigizaji Awinja asherehekea siku ya kualiwa ya mwanawe

Muhtasari
  • Mwigizaji Awinja asherehekea siku ya kualiwa ya mwanawe
Jacky Vike Awinja
Image: Facebook

Jacky Vike almaarufu Awinja ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao safari yao ya uigizaji inafahamika sana na mashabiki.

Awinja alifahamika sana kupitia uigizaji wake kwenye kipindi cha Papa Shirandula.

Ni furaha ya kila mzazi kumuona mwanawe ana kua na akiwa na afya njema,mwanawe Awinja anaadhimisha mika 5 hii leo.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagrama Awina alisema kwamba ahana mengi ya kusema bali kumshukuru Mungu kwa yote ambayo ametenda maishani mwa mwanawe.

Mama huyo wa mtoto mmoja pia anafahamika kupiti video zae za ucheshi ambazo huwapendeza wngi.

Huu hapa ujumbe wake kwa mwanawe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa;

"Nyinyi!! Mwanangu anatimiza miaka 5 leo!😩 huu ni moyo wangu wote katika picha hii, Sina mengi ya kusema lakini kumshukuru Mungu, imekuwa safari nzuri na tunawaombea wengi zaidi!Heri ya siku ya kuzaliwa MOSI❤️ Tumeni za SpiderMan nimpee 😁,"Awinja Aliandika.