Aliyekuwa mwigizaji wa kipindi cha Machachari,kilichokuwa kinapeperushwa kwenye Runinga ya Citizen Baha anaomboleza.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Baha alitangaza kifo cha nyanya yake,ilhali hakufichua kilichosababisha kifo chake.
Baba huyo wa mtoto mmoja alipakia picha yake na nyanya yake na kuandika ujumbe wa huzuni.
UJumbe huo ulisoma;
"Bado siwezi kushughulikia hili๐ Nitakukumbuka sana Shosh๐๐พ๐ญ Nakupenda Milele๐โค๏ธ Rest Easy๐,"Aliandika.
Hizi hapa jumbe za rambirambi kutoka kwa mashabiki;
kikie2344: Sorry for the loss baha may she Rest In Peace.We orphan kids who grandma means the world to us it really feels like it's now done.i lost my shosh in 2019 4th July let me tell you what followed later is so painful I got into depression being the only child ๐ข๐ข๐ข but I pray God to strengthen you and your family โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ.
wixx_mangutha: So sorry for your loss ๐
shariffa___: Sorry Tyler๐ข Let her soul rest in peace
dboy__fresh: Be strong brother ♥๏ธ it is well ๐๐พ Pole ๐๐พ๐๐พ๐๐พ
_njeri_njogu: My condolences ๐ may she rest in peace ๐ ๐