logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Huyu alikataa kuheal,'wanamitandao wamshambulia Jimal

Wale ambao alitoa maoni chanya walikuwa wakimshukuru kwa msukumo na motisha ya kufanya kazi kwa bidii.

image
na Radio Jambo

Makala03 January 2023 - 16:43

Muhtasari


  • Kwenye post hiyo aliwaambia mashabiki wake kuwa wanatakiwa kutafuta pesa hadi ex wao awapigie simu na kuwasihi waambie umma kuwa walikuwawakichumbiana siku za nyuma
Mfanyabiashara Jimal Rohosafi

Mfanyabiashara, Jamal Rohosafi amekosolewa vikali na wanamitandao kufuatia chapisho lake la hivi punde la mafumbo kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram, kwenye chapisho hilo, alikuwa akiwakejeli  wapenzi wake wa zamani.

Kwenye post hiyo aliwaambia mashabiki wake kuwa wanatakiwa kutafuta pesa hadi ex wao awapigie simu na kuwasihi waambie umma kuwa walikuwawakichumbiana siku za nyuma,

Ujumbe ambao ulivutia hisia za watumiaji wengi wa mtandao huku wengi wakisema anamzungumzia Amber Ray na Amira.

"Pata pesa hadi mpenzi wako wa zamani akupigie simu na kukuambia "Naomba uwaambie marafiki zangu kuwa tulichumbiana kwa maana hawaniamini,"โœŒ๏ธ

Wachache walitoa maoni chanya huku wengi wakitoa maoni yasiyofaa, waliotoa maoni ya udhalili walikuwa wakimdhihaki Jamal wakidai kwamba anasema uongo kuhusu mwanasosholaiti Amber Ray na Amira

Wale ambao alitoa maoni chanya walikuwa wakimshukuru kwa msukumo na motisha ya kufanya kazi kwa bidii.

Hizi hapa baadhi ya hisia zao;

official_mlocc: Vile amberay anasema sai๐Ÿ˜‚

_sharo.nmiles:Some old and idle women be commenting with hatred na akuna kitu wakonayo๐Ÿ’” just learn to appreciate people..

wildaan66: Mambo na ex tumekuachia wwe๐Ÿ˜Ž.....tafuta mwanamke legit banaa

winnilisakabuu: Amber ndio alikua anafanya ukae vizuri aki ๐Ÿ˜... Kama ni weightloss journey tupewe tips baaassss

mwachiamadeda:  Sasa kuja mbololo tukupee bibi mali safi uwache kuteseka na kutesa madem wawatu bure๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unahitaji kienyeji yenye imechemka vizuri

jane_body_massage_scrubbing: Don't you know once a lady is done she mean it?Especially our Amira...utajua hujui na pesa zako


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved