logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Pasta Ezekiel Odero humlipa kinyozi wake 5,000

Kiongozi wa kanisa la new life ulipa kinyonzi na ambaye ukuja kumunyoa nyumbani kwake 5000

image
na Davis Ojiambo

Burudani07 September 2023 - 09:57

Muhtasari


  • • Kiongozi wa kanisa la new life ulipa kinyonzi na ambaye ukuja kumunyoa nyumbani kwake 5000

Mhubiri wa kanisa la New Life Prayer Center Ezekiel Odero asema jinsi na ambavyo ulipa kinyozi wake.

Kiongozi huyu wa kanisa alisema ulipa shilingi 5000 kinyonzi wake kuja kumyoa kwake nyubani.

Akiongea katika mkutano wa kanisa alipokuwa na washirika wake,hii ni baada yake kuuliza mshirika mmoja kutaja hela ambazo anadhani unyolewa nazo hili kunyolewa.

"Niulize nanyolewa na pesa ngapi,” Ezekiel aliuliza mshirika wake.

Baada ya mshirika wa kanisa lake alipouliza pasta ezekiel aalijibu kuwa ulipa elfu tano kwa kufanyiwa shugli zima ya kunyolewa.

Katika nchi yetu ya kenya Barkat Ali Manji ni mmoja wa vinyozi ambao wanajulikana sana.

Kinyonzi huyu anasema aliamua kufanya hivo wakati ambapo wakati ambapo virusi vya korona ziliposhika kasi.

Kinyozi huyu anasema kati ya wateja wake ni akiwemo Otile Brown aliyekuwa gavana wa kiambu William Kabogo na Nick Mutuma.

Na huwalipisha zaidi ya 3000-5000 kwa kila huduma.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved