logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Siwezi kuongea na Ex wangu tukiachana kila kitu kinaishia hapo -Wema Sepetu

Muigizaji Wema Sepetu  awaonya wachumba kukataa urafiki wa Ex wao.

image
na Davis Ojiambo

Burudani25 October 2023 - 14:30

Muhtasari


  • • Wema aliwaonya kwa kile alikitaja kuwa kitachangia madharau na mzigo mzito ndani ya ndoa iwapo mtu yeyote atajishirikisha na urafiki wa kando na ex wake.

Siwezi kubali urafiki au maogezi yafanyike wakati ninapotengana na  mpenzi wangu urafiki huu hauna ladha ni wakupotezeana muda tu ni kauli yake muigizaji Wema Sepetu. 

"Wakati unapoachana na mpenzi wako na ukaingia kwa mapenzi na mchumba mwingine jambo la kuzungumuza na Ex wako alifahi kamwe mkiachana kila mtu apambane na maisha yake mbila kumshirikisha mwingine",alisema.

Muigizaji huyu mashuhuri ambaye hivi majuzi alitunikiwa nafasi ya kuwa mmoja wa washauri wa maswala ya ndoa kwenye kituo cha Radio Furaha FM nchini Tanzania, alipinga mazoea ya kuzungumza na waliokuwa wachumba.

"Nini ambacho mnataka kuzungumza wakati mnapotengana kipi hicho hamkuweka wazi wakati mlipokuwa wachumba  mimi siwezi hata kwa dakika moja kwa maana urafiki na Ex wako unaweza ukachangia uhusiano mwingine jambo ambalo litachangia mapenzi bandia.

Kwenye mjadala huu na wasikilizaji wake Wema aliwaonya kwa kile alikitaja kuwa kitachangia madharau na mzigo mzito ndani ya ndoa iwapo mtu yeyote atajishirikisha na urafiki wa kando na ex wake.

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved