Mtayarishaji wa maudhui ya mitandaoni maarufu wa Kenya Diana Marua amezua gumzo kwa watumiaji wa mtandao kutokana na video yake akimkaribisha nyumbani mtoto wake wa kambo Morgan Bahati.
Katika video iliyochapishwa Instagram, mama huyo wa watoto watatu alionekana akiwa amevalia kaptura aina ya biker ya rangi ya kibichi na crop top nyeupe huku akimkaribisha mwanawe kwa likizo kutoka shuleni.
Rapa huyo alionekana akimkumbatia Morgan akiwa katika kampuni ya Heaven and Majesty.
"Angalia mtoto wetu @Morgan_Bahati", Diana alinukuu video hiyo walipokuwa wakitangamana wakimpokea kutoka shuleni kwa likizo ya Aprili.
Mavazi yake yaliteka hisia za wanamtandao ambapo wengi walitonekana kuyapinga wakiyataja kama mavazi yasiyofaa kwa sababu Morgan ni kijana.
Akitoa hisia zake, mwanamtandao aitwaye Shania Claudia alidai kuwa Morgan alionekana kutofurahishwa kumuona akiwa amevalia mavazi ya aina hiyo akisema, "Morgan hafurahii tena na kamera na mavazi ya mama, maskini Morgan hana vinginevyo......inasikitisha sana, kwa vyovyote vile familia nzuri."
Haya ni baadhi ya maoni kutoka kwa wanamtandao;
luyunditarsha: Morgan doesn't seem to be happy 😢😢
vickymdela: Something is wrong with Morgan, please find out..teenagehood comes with alot of mood swings and emotional fluctuations
blaise_ocholi254: Being in bahati's family its risky you can be recorded even while in shower🤣🤣
paigemagiee: Aty ooh Morgan sijui is not happy... Weeeh ulikua unapenda shule 😂😂
ngetichwes: This is very indecent for Morgan 😢He is not even comfortable 😂😂😂
lucittah_hildah: 😍😍😍😍
maggie_sheekoh:😂😂😂 heaven always supporting mummy
macymaxxie: 😍its the outfit for mie
iam_evaans: Makofi kwako Dee for always making ur kids happy all the time may God continue being with u ❤ 🙏
sharon_.odero: Maybe he's just tired from school, and lots of teenage dramas. Relax people😂😂.... Eey
wambua.felista: On a light note, Cover up Infront of Morgan, he is a teenage