Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya amedai kuwa yeye anapenda kuabudu na ni mtu mwenye maombi kwa Mungu.
Kwenye video iliyoenea kwenye mitandao ya kijamii,Salasya alionekana akiwa ameketi kwa nyumbake akicheza gitaa huku akiimba wimbo wa ibaada.
Alibainisha pia kuwa anapenda kucheza muziki na kusema kuwa watu hawawezi kumuelewa isipokuwa wawe na roho ya kiroho.
"Ninapenda kucheza muziki na pia kwa wakati huo huo mimi ni mwabudu mwenye nguvu na mtu mwenye mombi kwa Mungu.Watu hawawezi kunielewa isipokuwa wawe na roho ya kiroho," aliandika kwenye video hiyo.
Hata hivyo mashabiki walitoa maoni ya huku mmoja akisema ;
glenkukubo;"Sai wakizima io music usikie kitu pk anaimba utashangaa."
Tazama video hapa