logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Millioni 20,nikupe collabo - Stevo Simple Boy kwa Diamond

Stevo amepiga hatua kimuziki baada ya kumwambia Diamond atoe 20 ksh wafanye colabo.

image
na Davis Ojiambo

Burudani14 August 2024 - 13:46

Muhtasari


  • •Mzee wa mitulinga endapo hutafika bei sikupi colabp
  • •Milioni 20 nikupe colabo
STEVOSIMPLEBOY

Kupitia mtandao wake wa facebook na Tiktok msanii Stevo Simpleboy a.k.a "King of Africa " kama anavojiita aeleza kwamba msanii wa bongo Diamond Platnumz alimtexti instagram akitaka collabo.

Aidha Simple Boy amesema kua uamuzi huo unakuja baada ya Diamond kukataa kufanya colabo na wasanii wa Kenya .

"Shega" moja yake ya vibao vya simpleboy ambavyo vinazidi kufanya vizuri umu huku kikiwa kinakubalika na wasanii wenza kwa kipindi cha wiki mbili zilizo pita .Vilevile Stevo amemwomba Diamond ikiwa hataweza kuafikia zile hela ni bora aachane na mambo ya colabo.

Aidha ,Stevo Simpleboy amekua katika akili za wakenya kupitia mavazi yake ambayo yanaupekee akisema kua yeye yuko vizuri na mitindo yake ni ya upekee hasa ya mavazi.

Vilevile msanii Simpleboy ameonyesha umahiri wake hasa kwa mtandao wa Tiktok akiwa msanii mwenye ufuasi mkubwa kwenye mtandao huo kwa video zake ucheshi na misamiati ambayo imekua ikitumika miongoni mwa video za ucheshi kwenye sanaa hiyo.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved