logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Doreen Moracha: Mrembo Aliyezaliwa Na HIV Asherehekea Miaka 20 Ya Kutumia ARVs

Moracha alisifia dawa za ARV kwa kuwapa watu wanaoishi na virusi vya HIV nafasi nyingine ya kuishi licha ya kwamba dunia bado haijapata tiba kamili ya virusi hivyo.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Burudani01 February 2025 - 10:33

Muhtasari


  • Historia ya Maisha ya mrembo huyo kutoka Kisii ni moja yenye wingi wa matumaini kwa watu wanaoishi na virusi vya HIV.
  • Kwa mujibu wa shirika la IAS kwenye tovuti yao, Moracha Alizaliwa na HIV, na aligundua hali yake alipokuwa na umri wa miaka 13 tu. 

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved