Mpenzi wangu amekuwa akimtumia mwanamume mwingine picha akiwa uchi-Mwanamume asimulia

Muhtasari
  • Wanawake au wanaume hao huanzisha uhusiano mwingine nje ya ndoa na kutojali hisia za wenzao
  • Kwa nini uliachana na aliyekuwa mpenzi wako yaani sababu kuu ya nyinyi kuachana ilikuwa ipi?
sad man
sad man

Katika kia uhusiano wa kimapenzi lazima watu wakosane kwa ajili ya jambo moja au lingine, lakini kuna wale huwaamini wapenzi wao na hata kutupilia ugomvi mbali.

Kuna wanaume au wanawake ambao wana tabia ya kutotosheka endapo wamo katika uhusiano wa kimapenzi.

Wanawake au wanaume hao huanzisha uhusiano mwingine nje ya ndoa na kutojali hisia za wenzao.

Mwanamume mmoja aliwaacha wanamitandao midomo wazi baada ya kusimulia kuwa alimpata mpenzi wake akiwa anamtumia mwanamume mwingine picha akiwa uchi.

Sio jambo la kushangaza kwa maana tabia kama hizo zimekuwa zikienea kwa kasi mno, lakini chanushangaza mwanamume huyo alidai kuwa mwanamke huyo alikuwa anamumia hasa sehemu zke za siri.

"Nimekuwa na mpenzi wangu kwa miaka 3, siku moja aliniambia nimpige picha na akizidi kusisitiza nilimpiga na nikaenda zangu

Niliporudi nilichukua simu yake na kutazama zile picha, cha kushangaza nilipata ni mwanamume alikuwa anaitisha piccha hizo, 

Nilipoendelea kuangalia, niipata poa amekuwa akimtumia picha akiwa uchi, na sana sana sehemu zake za siri

Licha ya hayo hajawahi nikubalia nimuone akiwa uchi, niliachana na yeye kwa ajili ya tabia zake,"

Kwa nini uliachana na aliyekuwa mpenzi wako yaani sababu kuu ya nyinyi kuachana ilikuwa ipi?