logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kando na Jimal hawa hapa baadhi ya wanaume waliomchumbia Amber Ray

Kuna baadhi ya wanaume ambao mwanasosholaiti huyu amechumbia kabla ya kuchumbiwa na Jimal

image
na Radio Jambo

Habari26 July 2021 - 14:06

Muhtasari


  • Kando na Jimal hawa hapa baadhi ya wanaume waliomchumbia Amber Ray

Mwanasoshalaiti Amber Ray amekuwa akigonga vichwa vya habri kwa miezi chache sasa, baada ya kuchumbiana na mwanabiashara Jimal Marlow Rohosafi.

Kuna baadhi ya wanaume ambao mwanasosholaiti huyu amechumbia kabla ya kuchumbiwa na kuolewa na Jimal.

Wanaume hao ni;

1.Zaheer

Wawili hao walichumbiana mwaka wa 2018, kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii Amber alitangaza kwamba hawayuko pamoja.

2.Brown Mauzo

Amber Ray alikuwa mpenzi wake msanii Mauzo kwa muda hadi pale walitengana mapema mwaka wa 2020.

3.Syd

Baada ya kuachana na Zaheer, Amber alikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na rappa Syd 2018 lakini kwa bahati mbaya waliachana mwaka huo Desemba.

Amber Ray baada ya kuachwa na mpenzi wake JImal, alisema kwamba kuumizwa moyo huwa inamchukua tu siku mbili, na kisha anaendelea na maisha yake.

Alifichua kwamba wameachana na Jimal kuputia kwenye mitandao yake ya kijamii, huku akifichua kwamba hawangetatua mambo yao kwa maana ilishindikana.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved