Bado wewe ni bikira?Mashabiki wamuuliza Nadia Mukami baada ya kufichua uhusiano wake na Arrowbowy

Muhtasari
  • Mashabiki wamuuliza Nadia Mukami kama bado ni bikira
Nadia-2-e1566897594626-696x395
Nadia-2-e1566897594626-696x395

Msanii maarufu Nadia Mukami amekuwa akigonga vichwa vya habari, baada ya kupakia picha aiwa na msanii Arrowbowy wakiwa wanapigana busu.

Msanii huyo anajulikana kuwa 'single' kwa muda sasa, lakini hivi juzi Nadia alionekana akiwa kwenye mahaba ba msanii huyo.

Kuptia kwenye ukurasa wake wa instagram Nadia alisema kwamba wanaume wa Kenya wanajua mapenzi na jinsi ya kudekeza wapenzi wao.

"Wanaume wetu wa Kenya ni wa kushangaza tuπŸ™ˆSivuki border πŸ™ˆ," Aliandika Nadia.

Baadhi ya mashabiki wake walimpongeza huku wengine, wakimuuliza kama ni bikira kma vile amekuwa akidai.

Hizi hapa baadhi hisia zao;

arrowbwoy: Jamani Kupendwa Raha ❀️

dennis_8338: Are you still virgin

sultanatebronce: Sukari ya arrow boi

mtoto_wa_pastor_ke: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mukami ushaanza kuwa motivational speaker ..ama???πŸ˜‚πŸ˜‚

chriskirwa: Once u go Wesdan- Mwihoko becomes a distance memory πŸ™ŒπŸ™ŒAwesome people ✊

_w_a.l.l.y._: It's okay our virgin beautyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

doctorsmilano: Wenye kuvuka jua washamalizana na wakenya...wanaenda kuskia taste ya njeπŸ˜‚

peter.wings: Love is a good thing also bad in another way! THANKS for seeing we has kenyan mens we can make itπŸ‘πŸ‘

Ndio mapenzi ni raha, lakini swali ni je wawili hao kweli ni wapenzi au wanashirikiana kutoa kibao kipya pamoja?