Najutia kufanya ngono na ndugu yangu-Mwanamke alia

Muhtasari
  • Kufanya tendo la ndoa na ndug au dada yako, katika jamii ni 'taboo' kubwa na kosa hilo halipaswi kusamehewa
Side view of young woman with eyes closed
Side view of young woman with eyes closed

Kufanya tendo la ndoa na ndug au dada yako, katika jamii ni 'taboo' kubwa na kosa hilo halipaswi kusamehewa.

Kama kawaida nikiwa katika ziara yangu, nilipatana na Sheila ambaye hawaonani macho kwa macho aua ana kwa ana na ndugu yake wa miaka 21.

Je kisa cha kutoonana ni kipi?

Kulingana na Sheila kisa cha kutoonana na ndugu yake, ni baada ya kufanya ngono pamoja wakiwa wamelewa.

Baada ya kitendo hicho alimtuma ndugu yake mashambani kwa ajili ya majuto, na aibu aliyokuwa nayo.

"Nililala na kaka yangu wa damu wakati tulikuwa tumelewa na ilibidi nimfanye aondoke aende mashambani milele kwani tumekuwa tukikaa pamoja kwa miaka kadhaa lakini wakati tulipofanya kitendo hicho, nilimshauti aende mashambani

Nina miaka 34 na yeye ana miaka 21. Ninajisikia mwenye hatia sana na mfadhaiko  kwa sababu sijawahi kufikiria jambo kama hilo. Nina huzuni sana na ninahitaji ushauri wako, nawezaje kurekebisha mambo?

Sijawahi kuwa na hisia zozote juu ya ndugu yangu wa damu lakini ilitokea tuliamka uchi kwenye kitanda kimoja na nilikuwa nikilala naye tangu kitendo hicho kutokea ni miaka 2 sasa, na sijawahi kanyaga mashambani kwa ajili ya aibu

Nahitaji ushauri, kwa sababu siwezi kaa mjini miaka yote."

Je ni ushuri upi unaweza mpa Sheila?