'Chochote kinawezekana,'Zari Hassan amjibu shabiki aliyemuuliza kama ana ujauzito

Muhtasari
  • Zari Hassan amjibu shabiki aliyemuuliza kama ana ujauzito
Zari Hassan
Image: Maktaba

Mjasirimali na mwanasosholaiti ari Hassan alifahamika sana baada ya kuwa kwenye uhusiano na staa wa bongo Diamond Platnumz.

Zari amekuwa kwenye ihwa vya habari kwa muda, baada ya kuachana na Diamond na hata kusaidiana na msanii huyo kuwalea watoto wao.

Wawili hao wamebarikiwa na watoto wawili Princess Tiffah na Prince Nillan.

Miezi chache iiyopita Zari alichumbiana na mpenzi ake ambaye baada ya muda waliachana.

KUpitia kwenye ukurasa wake wa instagrama alipakia pocha yake na kuandika ujumbe uliowaacha mashabiki wake na maswali mengi kuliko majibu.

" Nilikuombea, nilikudhania, kisha ukatokea," Aliandika Zari.

Mmoja wa mashabiki wake alimuuliza kama ana ujauzito la sivyo kama amaepata mchumba mwingine.

"Je tumepata penzi mpya au tuko na ujauzito, kuna hsia nyingi katika ujumbe wako," Shanbiki aliuliza.

Zari naye almjibu kuwa;

"Chochote kinaweza tokea."

Je unafikiri Zari alikuwa anazungumzi anini?