logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Picha ya siku!Kutana na mpenziwe Betty Bayo ambaye amekuwa akimficha kwa muda

KUlingana na Betty, mpenzi wake ni maombi yaliyojjibiwa kwae, pia alimshukuru kwa kumpenda

image
na Radio Jambo

Habari16 September 2021 - 10:22

Muhtasari


  • Kutana na mpenziwe Betty Bayo ambaye amekuwa akimficha kwa muda
kanyari 4

Imechukuwa muda kwa msanii wa nyimbo za injili Betty Bayo kumfichua mpenzi wake, kwenye mitandao ya kijamii.

Huku wakiadhimisha miaka miwili kwenye uhusiano wao, Betty alipakia picha na kuonyesha uso wa mwanamume huyo.

KUlingana na Betty, mpenzi wake ni maombi yaliyojjibiwa kwae, pia alimshukuru kwa kumpenda pamoja na watoto wake.

"Mwishowe..imekuwa miaka 2 tangu tukutane na tukawa marafiki wazuri. kile kilichopelekea hapo baada ya hakuna mtu anayeweza kuelezea.lilazimika kuchukua muda kukujua vizuri. mimi na upendo ulionionyesha kuelekea mimi na watoto.

Angalau nawajua ex wako wote, wewe ni maombi yangu yaliyojibiwa .. UPENDO wangu najua sio kamili na hiyo inafanya sisi wawili kupenda," Aliandika Betty.

Kwa upande wake mpenzi wake alimshukuru Betty kwa kuwa kwenye maisha yake, na kumfanya ahisi kupendwa.

Huu hapa ujumbe wake;

Asante kwa kuja maishani mwangu, na kufanya maisha yangu yawe ya kushangaza. Unanifanya nijisikie KUPENDWA kila siku. Ninajisikia mwenye bahati kwamba nina wewe kama Mwenzangu wa MAISHA. Ninakupenda siku zote SWITHRTđŸ„°đŸ„°wangu," Aliandika Tash.

 

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved