Hii Nairobi mwanamume atakuoa na kisha amchumbie mwanamke wa aina yake-Amber Ray

Muhtasari
  • Amber alivuma sana mapema mwaka huu baada ya kuolewa kama mke wa pili na mfanyibiashara Jimal Roho Safi
Amber Ray
Image: Hisani

Kama umekuwa  kwenye mitandao ya kijamii hukosi kuwa unamfahamu mwanasosholaiti Aber Ray.

Amber alivuma sana mapema mwaka huu baada ya kuolewa kama mke wa pili na mfanyibiashara Jimal Roho Safi.

Uhusiano wao haukudumu, kwani wawili hao waliahana huku Jimal akimrudia mkewe Amira.

Kupitia kwenye ukurasa wake Amber wa instagram amezungumzia na kuandika jinsi wanaume wa karne ya sasa wanaoa wanawake kisha wanawachumbia wanawake wa aina yao.

"Hii Nairobi mwanamume atakuoa na kisha amchumbie mwanamke wa aina yake," Aliandika Amber.

Ujumbe wake unajiri saa chache baada ya Jimal kumzawadi mkewe Simu ya shilingi 180.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki kuhusu ujumbe wake Amber Ray;

just__cheche: Wanauliza jeep ilienda wapi???

polynewhite: The energy to iron clothes for a man to go take his love out Sina. Lemmi remain number 2πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

_phoiey_: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ They marry peace then cheat peace with beauty

cici_aidah09: πŸ˜‚πŸ˜‚mi naona they'll date you n marry their type....of which ukiangalia their type unajiuliza...'kwani i had stoop this lowπŸ€”πŸ€”?...pun intendedπŸ˜›πŸ˜›

velmamonique: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona unashout Sana hivo wamusyi

ndungu9817: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wewe mbona unashout hivo