'Napeza kupenda,mtoto wa mtu siku moja atanipenda ,'Wema Sepetu akiri

Muhtasari
  • Muigizaji Wema Sepetu amekiri kwamba yuko 'single' na kwamba anapeza kupenda
wema 5 (1)
wema 5 (1)

Hakuna mwanamke au mwanamume ambaye hapendi kupendwa au kuonyeshwa mapenzi,lakini kuna baadhi ya watu ambao wamethibitisha kwamba mapenzi sio kila kitu.

Muigizaji Wema Sepetu amekiri kwamba yuko 'single' na kwamba anapeza kupenda.

Ni wazi kuwa Sepetu alikuwa mpenzi wake Diamond, mapenzi ya wawili hao yalitamanika na wengi bali hawakukaa waliachana baada ya muda.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Wema alisema kwamba kuna mtoto wa mtu atampenda sana siku moja.

Aliendelea na kusema kwwamba yeye ni mtu rahisi sana kumpenda.Sepetu ameweka wazi licha ya kupeza kupenda ana furaha katika maisha yake.

Huu hapa ujumbe wake;

"Somebody's Son gon Love me soooo hard One Day.... Im Telling You...☺️😜☺️😜☺️😜 Mama wakwe, Mawifi, Mashemeji na Kadhalika mtaona wivu wa AjabπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ... (Just Kidding cause im a Lovely person) Sidhani kama Im difficult to Love... Au tuwaulize walopita...πŸ€”πŸ€”πŸ€”...napeza kuwa wenye mapenzi ... πŸ€¦πŸΌβ€β™€οΈπŸ€¦πŸΌβ€β™€οΈπŸ€¦πŸΌβ€β™€οΈ lakini jina furaha," Aliandika Wema.

Ni ujumbe ambao mashabiki wake walimpa ushauri, na hizi hapa jumbe zao;

tembo1tz: Ipoo wakatii munguu ata kufungaa milango na utaa mpataa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

binti_kiyasile: We love you i think that is enough for nowπŸ˜‚

zainabu.shaban.9041: 😍😍😍 ungenichagua mie nikuchagulie mtu wa kua nae jmn 😒😒😒

elice_beatrice: Mungu akupe hitaji la moyo wako

paulmlele: WHAT A FELLING DEAR❀️πŸ”₯πŸ”₯, Ila hopefully utampata tu na it could be me au mwingine yeyote. Usiweke conditions tuu... Sema ilimradi awe anapumua tuu, Inshallah utampata baby..@wemasepetu