Alikuwa anataka tufanye ngono usiku na mchana kila siku-Mwanamke asimulia sababu kuu ya kugura ndoa

Muhtasari
  • Ndoa inachangamoto zake kila kuchao na kila siku, huku baadhi ya wanandoa wakiamua kugura na kuendelea na maisha yao bila  wenzi wao
sad woman
sad woman

Ndoa inachangamoto zake kila kuchao na kila siku, huku baadhi ya wanandoa wakiamua kugura na kuendelea na maisha yao bila  wenzi wao.

Kwa kweli hamna kitu ambacho hakina changamoto duniani, na kama vile walivyosema akina babu zetu ni kuwa ndoa ni kuvumilia.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, wanamitandao walisimuia na kueleza sababu kuu za kugura ndoa zao za awali.

Mwanamke mmoja aliibua hisia mseto baada yake kusema kwamba aligura ndoa ya miaka 4 kwa kuwa mumewe alitaka wafanye tendo la ndoa kila siku.

"Kusema kweli singevumilia ndoa ya miaka nne mume wangu alikuwa anataka tufanye tendo la ndoa kila siku, usiku na mchana

Hakuwa anapenda kunisikiza wala kuskiamaoni yangu, niliamua kutoroka baada yake kuenda kazi kwani singevumilia tena, nilisema wacha hio ndoa ikae na sitamani kumrudia," Alieleza mwanamke huyo.