logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Vera Sidika awasuta wakosoaji waliosema mwanawe atamfanana Atwoli

Mashabiki hata walimtuhumu Vera kwa kutunga hadithi kwamba watoto wanafanana na Asia.

image
na Radio Jambo

Habari10 January 2022 - 20:32

Muhtasari


  • Vera Sidika awasuta wakosoaji waliosema mwanawe atamfanana Atwoli

Vera Sidika ni mmoja wa Wanasoshalisti wa juu. Kwa sasa Vera Sidika ana Kichwa Kipya cha Mama na anajulikana kama Mama Asia.

Siku ya JUmatatu Vera aliamua kupost baadhi ya Picha za kitambo alizokuwa akiweka kabla ya kuanika sura ya Baby Asia.

Vera Aliwakemea na kuwasuta wakosoaji wake ambao walikuwa wakimwambia aache kutamani watoto hao waonekane kama Asia.

Mashabiki hata walimtuhumu Vera kwa kutunga hadithi kwamba watoto wanafanana na Asia.

Vera amepost tena picha za watoto alizokuwa akipost na Hivi sasa kila mtu anatoa maoni yake jinsi watoto hao wanavyofanana na Baby Asia.

Kwa hakika Vera aliwakashifu wale wanaomchukia ambao walikuwa wakisema kuwa Mtoto wake anafanana na Atwoli na kuwataka wanaomchukia watoe maoni yao kuhusu mwonekano wa Baby Asia sasa.

Vera Alifichua kwamba hata alidanganya mazungumzo na mama yake ili tu watu waamini kwamba mtoto huyo anafanana na Asia.

 

 

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved