Nani amekosea 'mbunge' wetu? Bahati alilia haki

Muhtasari

• Bahati anadai kulazimishwa kujiondoa kutoka kinyang'anyiro cha ubunge wa Mathare.

• Mgombea ubunge wa Mathare kwa chama cha Jubilee Kevin Bahati amedai kuambiwa kuondoa azma yake na kurejesha cheti cha uteuzi.