Msanii kutoka Tanzania Aslay amewaacha wanamitandao midomo wazi baada ya kusema kwamba anataka kuzikwana bintiye siku akifa.
Msanii huyo alipakia picha yake na bintiye ambaye bado yuko hai na kuandika ujumbe ufuatao;
"Tukifa Tuzikwe Wote Ndio Mimi na @mozza__aslay," Aliandika Aslay.
Ni ujumbe ambao uliibua hisia tofauti na hii hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
mashwishwitv: Chezea mtoto wa kwanza ππππ
officialmakata: Unacheza na kizikwa wote nini wewe hujaonaga mtu anamkimbia mzazi wake aliekufa? πππ
miangaiko_mipango: Sawa tuta fanya ivyo wanangu maagizo hayo
ngongosi: Atazikwa pembeni yako au wewe pembeni yake sio wote cheee
officialdinnah_: πππaje sasa but inshaAllah π
ericajames891: Mfuniko na pipaaaβ€οΈsiyo lwakufanana uko na mwanao brooo