Gumzo mitandaoni baada ya msanii Mbosso kuweka majibu yake ya virusi vya ukimwi hadharani

Muhtasari
  • Staa wa bongo Mbosso kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram ameweka wazi matokea au majibu yake ya virusi vya ukimwi
66855938_1220357588125307_5681176959875639446_n
66855938_1220357588125307_5681176959875639446_n

Siku ya JUmatatu ilikuwa ya wasanii wa Tanzania kuwaacha mashabiki wao midomo wazi kwa sababu ya mambo kadhaa ambayo wanayafanya hadharani.

Staa wa bongo Mbosso kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram ameweka wazi matokea au majibu yake ya virusi vya ukimwi huku akisema kwamba yuko tayari kwa matumizi,hii ni baada ya msanii Aslay kusema kwamba anataka kuzikwa na mwanawe.

"Nipo salama kwa matumizi," Aliandika Mbosso baada ya kuchukua Vipimo Vya Ugonjwa Wa Virusi Vya Ukwimwi na Kuweka Wazi Majibu Mtandaoni Kuwa Yupo Salama.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki kuhusu hatua yake bosso;

magrethshekimwer: Safari bado kaka lamda uwe unampima kila unayekutana nae

zichaboytz.1: Ndo maan ajaachia ngomaa mda mrefuu kijana@mbosso kumbe alihis anangoma eh??😂😂

officialdovu: Njoo Muhimbili..unajipima mwenyew then unajiripotia mwenyewe

vumbi_la_kongo_mbeya: Mabinti wachangamkie kavu kavu..😂😂😂😂😂

daudmdamila: Na sku akiupata atupostie tena

rwabyz: Mwana kulitafuta hulipata sijui alikua anatafuta Nn 😂😂

officialmj19900: Kwan hauwez kutoa ngoma mpaka mpaka mmetengeze kamjadala kidogo au?