Willis Raburu na mpenzi wake watarajia mtoto wa pili

Muhtasari
  • Willis Raburu na mpenzi wake watarajia mtoto wa pili
Image: INSTAGRAM// IVY NAMU

Mtangazaji wa runiga ya Citizen Willis Raburu na mpenzi wake Ivy Namu wanatarajia mtoto wao wa pili.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Willis aliwatangazia mashabiki wake habari hizi njema.

Wawili hao walibarkiwa na mtoto wao wa kwanza mwaka jana.

Mashabiki walichukua fursa hiyo na kumpongeza mtangazaji huyo na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

akotheekenya: Aaah bazu you fire congratulations 👏👏👏👏

tamymoha_: Eeeeiiii...Congratulations sanaaaa...na hamcheziii @willisraburu 😂😂❤❤❤

loliphotographer: O Gosh. Congratulations guys ❤️🔥🙌

sianmwangi: YEEEIIIYYY!!! More to the Fam! Congratulations, my peoples! 😍❤️❤️❤️

linetkendi_: Woooo congratulations 😍😍