Mwanamume ni pesa sio mdomo-Amber Ray mfokea ex wake

Muhtasari
  • Uhusiano wao haukudumu sana kwani waliachana na kila mmoja wao akendelea na maisha yake
Amber Ray
Image: Elizabeth Ngigi

Tunapozungumza kuhusu mwanasosholaiti Amber Ray sio mgeni vinywani au machoni mwa wengi, hasa kwenye mitandao ya kijamii.

Amber anafahamika kwa urembo wake na umbo lake, na pia kuishi maisha ya kifahari licha ya kejeli nyingi mitandaoni.

Mwanasosholaiti huyo alivuma sana mitandaoni mwaka jana baada ya kueoleewa na mfanyibiashara JImal Roho Safi.

Uhusiano wao haukudumu sana kwani waliachana na kila mmoja wao akendelea na maisha yake.

KUpitia kwnye ukurasa wwake wa instagram Amber amekiri na kusema kwamba mwanamume ni pesa na wala sio mdomo.

Kulingana na mashabiki na wanamitandao, Amber alikuwa amnamfokea aliyekuwa mpenzi wake Kabba ambaye walichumbiana kwa muda.

Kabba baada ya kuachhana na mwanasosholaiti huyo, alidai kwamba anaishi maisha feki mitandaoni na anapaswa kubadilisha tabia yake.

Huku Amber akijibu madai hayo alisema kuwa;

”Mwanaume ni pesa sio mdomo🤣🤣🤦‍♀️. Ndume suruali😅.”