Aliyekuwa mwigizaji wa kipindi cha Papa Shirandula, Kenneth Gochoya almaarufu Njoroge amempoteza nyanya yake.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mwigizaji huyo aliwatangazia mashabiki wake habari hizo za kuhuzunisha.
"Inahuzunisha kuwa umeenda, miaka 103 is nyongeza ya kutosha, mke wangu,shosho wangu ameenda uwa na muumbaji wake,lala salama hadi tutakapokutana,"Njoro Aliandika.
Mashabiki walituma jumbe za rambirambi na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;
shaniqwa_karishizzo: Bro my sincere condolences to you and your family she lived a good life ☺️☺️ we celebrate her life
bura_rated: My sincere condolences🙏🏾.May her soul rest in peace🕊
wairimu_anney: May her soul rest in peace🙏🙏. May the Lord comfort you all
kuha_miss: 😢😢May shush soul rest in peace
johngitema1: It's well broo polenii man
Njoro alifahamika sana baada ya kuingiza katika kipindi cha Papa Shirandula kilichokuwa kinapeperushwa kwenye runinga ya Citizen.