Kibao kikali

Video Imeshuka! Diamond atoa video ya wimbo wa ‘waah’ aliofanya na Koffi

Diamond ameshirikiana na Koffi katika wimbo huo

Hatimaye msani wa Bongo Diamond ameshukisha mitandaoni viedeo ya wimbo wake wa ‘waah’ alimshikirikisha  maestro wa DR Congo Koffi Olomide na mashabiki wamefurika kuitzama video hiyo .

Diamond Platnumz Teams Up With The Legendary Koffi Olomide On A Hit Song Waah! Get The Song On Audiomack https://audiomack.com/diamondplatnumz/song/waah Boomplay https://www.boomplaymusic.com/share/music/48763397 Song Produced By Lizer Classic Video Shot By Director Kenny Under Zoom Extra Contacts: +255718546547 | directorkeny1@gmail.com Get A Boy From Tandale Album https://umgafrica.lnk.to/DiamondPlatnumzABFTYD Diamond Platnumz Booking Info: Email:bookplatnumz@gmail.com | sallam.sharaff@gmail.com Catch Up With Diamond Platnumz On: Instagram:https://www.instagram.com/diamondplatnumz/ Facebook:https://www.facebook.com/DiamondPlatnumz255/ Twitter:https://twitter.com/diamondplatnumz/ Plus d'infos sur Koffi Olomidé / More info on Koffi Olomidé Facebook : https://web.facebook.com/Koffiolomideofficial Instagram : https://www.instagram.com/koffiolomide_officiel/ #Diamondplatnumz #Wasafi #Koffiolomide

 Ingawaje  krisimasi hii haitakuwa kama nyingine za hapo awali kwa sababu ya  janga la Corona , mashabiki wa wasanii hao wataweza kuwa na kibao hicho kwa njia ya video ili kudensi na kuitazama

 Wimbo huo wao una mshiko wa kibongo na lingala