Kibao cha wiki:(+Video)Tazama kibao kipya cha msanii Lavalava

Muhtasari
  • Tazama kibao kipya cha msanii Lava Lava
  • Kibao hicho kinazungumzia jinsi alikuwa na mpenzi na kisha akamtoka na kumuendea sponsor
  • Licha yake ya kumuendea sponsor mpenzi huyo alianza kuenda katika sheherehe za usiku kwenye klabu
Lava lava
Image: Instagram

Msanii wa nyimbo za bongo kutoka Tanzania Lava Lava na ambaye amesajiliwa katika lebo ya wasafi ambayo ni staa wa bongo Diamond Platnumz ametoa kibao kipya kinachofahamika kama 'Wale wale'.

Kibao hicho kinazungumzia jinsi alikuwa na mpenzi na kisha akamtoka na kumuendea sponsor.

Licha yake ya kumuendea sponsor mpenzi huyo alianza kuenda katika sheherehe za usiku kwenye klabu.

 

Pia kinazungumzia jinsi alimuua sponsor wa mpenzi wake huku akitiwa ndani kwa kosa la mauaji.

Baada ya kufungwa alipitia changamoto akiwa jela, huku akimlaumu mwanamke huyo kwa kuto mwambia ukweli kuhusu mapenzi yao.

Ni kibao ambacho kimepokea watazamaji zaidi ya elfu 56 kwa saa saba zilizopita.

Hii hapa video ya kibao hicho

From The #PromiseEp 💘💖💓 Track No.1 Wale Wale Brand New Video Download Promise EP👇🏻 https://lavalava.lnk.to/promiseEp For Bookings: lavalava@wcbwasafi.com Follow Lava Lava On: Instagram:https://www.instagram.com/iamlavalava/?hl=en Facebook:https://www.facebook.com/iamlavalavapage/ Twitter:https://twitter.com/iamlavalava?lang=en #walewale #lavalava Copyright ©2021 WCB Wasafi. All rights reserved.