Msanii Bahtai alizindua albamu yake mnamo tarehe 13 Juni, ambapo wasanii tofauti walihudhuria hafla hiyo.
Albamu hiyo inafahamika kama 'Love like this' miongoni mwa nyimbo katika albamu hiyo moja wapo ni 'pete yangu'.
Ni kibao ambacho amemshirikisha msanii Nadia Mukami, pia ni kibao ambacho kimepokelewa vyema na wasanii huku kati ya saa tatu kimepoka watazamaji 146,270 kwenye youtube.
KInazungumzia wapenzi wawili ambao wanadhaminiana kama pete siku yao ya harusi.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki kuhusu kibao hicho;
archieyot: Beautiful song❤️❤️❤️.Congratulations
dj_trappHatupumui: leo ata hoover inakataa kucheza ngoma zingine😂😂🔥🔥
rachelpatrick12: 🔥🔥🔥🔥🔥been stuck on this truck😍😍. Fireeee
sydney_mnira: The song is moto, cjui mbona siko part of it
Je kibao hicho kimeweza au hakijaweza?
Hii hapa video yote ya kibao hicho;