Diamond ameacha wanamtandao wakimsifu kwenye mitandao ya kijamii kwa wakati mwingine.
Hii ni baada ya wimbo wake mpya kabisa 'Naanzaje' kupokea zaidi ya watazamaji 100k kwa chini ya dakika 44, jambo ambalo mashabiki wake hawawezi kupata kutosha kutoka kwake.
Kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mashabiki wamemsifia Diamond kwa bidii ya kazi yake.
Licha ya msanii huyo kupokea kejeli tofauti kutoka mitandaoni, ameonekana akitia bidii kila kuchao.
Kumbuka, hii sio mara ya kwanza kwa video mpya za Diamond kupokea watazamaji kama hawa kwenye YouTube chini ya saa moja.
Sasa habari hii ya Diamond kupata watazamaji zaidi ya 100k kwenye Youtube chini ya dakika 44 kwa wakati mwingine imeenea kwenye mitandao ya kijamii, na inaleta athari tofauti kutoka kwa wanamtandao kwa sasa.
Baadhi ya mashabiki walichukua fursa hiyo kutetea Harmonize huku wenine wakimkejeli kwani show yake ilihudhuriwa na watu 40 Marekani.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
dalali_wa_warembo123: Huyi Ndo Baba Laoπ
kjmuka: Tunawaambia leo nisiku yetu tunaenda kushangaza nchiππππ₯π₯π tuachane na show ya Marekani watu 40π
eraston_masale: πππππ waambiee kwanba hizo ni Real views sio Fake wajue kutofautisha
jumaalimasi: Ikiwa harmonize mnasema maroboti shemzi nyiee πππππ
abdulinassir5: Yaani hao views waliopo hapo wangawe mara 10000 jawabu utakayopata ndio watu walioingia kwenye show ya Harmonize jana Marekani
simbaplatnumz32: Simbaaaaa salute na hatujastreamπ₯
hidayajonson: Noma sanaaaaaaaπππππ₯π₯π₯π₯
Hii hapa video ya kibao hicho;