Picha ya siku:Kutana na mama yake msanii DK Kwenye Beat

Muhtasari
  • Kutana na mama yake msanii DK Kwenye Beat
  • Huku leo mama yake akisherehekea siku yake ya kuzaliwa  Alishiriki picha yake na mama yake kwenye ukurasa wake wa instagram
DK Kwenye beat
DK Kwenye beat

Msanii David Kilonzo ni mmoja wa watu mashuhuri nchini Kenya. Anajulikana kwa jina la DK Kwenye beat. Yeye ni mwanamuziki wa injili, mume na baba.

Huku leo mama yake akisherehekea siku yake ya kuzaliwa  Alishiriki picha yake na mama yake kwenye ukurasa wake wa instagram.

Walionekana vizuri pamoja kwamba mashabiki wake hawangeweza kuacha kuwazungumzia.

Katika ujumbe wake wa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mama yake alimuombe baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu.

"Mama sherehekea siku yako ya kuzaliwa ukijua kwamba mambo yote yatakuwa sawa maishani mwako

Ninaomba kila unachofanya kifanikiwe na ujaze furaha. ... Tunakutakia heri njema y kuzaliwa na furaha, Mama Mpendwa. Unapoadhimisha siku hii, Mungu aendelee kukupa neema yake na upako juu yako,"

Hii hapa picha ya wawili hao;