Bendi ya Sautisol imewafurahisha mashabiki wake baada ya kumwandikia mmoja wa wasanii wake Nviirithestoryteller ujumbe wa kipekee anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Kulingana na Sautisol Nviiri ni mwanamume mwenye talanta nyingi, pia walifichua kwamba alisaidia aliandika kibao cha 'Suzanna' na 'Melanin'.
Ni baadhi ya viba ambavyo vimependwa sana na mashabiki.
"Heri ya siku ya kuzaliwa @nviirithestoryteller ๐๐๐ฅณ.Mwanamume mwenye talanta nyingi (kama vile wanawake wangekubali) - lakini ni mchezo wake wa kalamu na uhodari wa sauti ambao humtenganisha na umati.
Ustadi wake hauwezi kulinganishwa! Kwa kweli, Msimuliaji hadithi aliandika vibao vyetu viwili vikubwa hadi leo #Melanin na #Suzanna. HBD bwana sherehe ๐ฅ๐ค๐พ. Endelea kuongezeka ๐๐ธ."
Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wakimtakia heri njema siku yake ya kuzaliwa;
d.e.x.s.t.a.r_flex: Happy birthday champ๐ฐ๐ช๐
kovarskiss: Happy birthday my day Maker ๐๐
_s.o.n.n.e.y_: Happy birthday ๐โค๏ธโค๏ธ
sevens_dreadlocks_world: Happy Birthday
ambussi_: More life bro๐
collins_king_comedian: Happy birthday king๐ฅ๐ฅ