Video - Kutana na mhubiri Size 8 akifurusha mapepo

Muhtasari

• Size 8 alikuwa mwanamziki wa nyimbo za anasa lakini akaokoka na kuanza kueneza injili.

• Nyimbo zake za dini zilinata sana anga ya mziki na kutamba pembe zote.