'Lala salama,'Mwanahabari Mashirima Kapombe amuomboleza kaka yake

Muhtasari
  • Mwanahabari Mashirima Kapombe amuomboleza kaka yake

Mwanahabari wa runiga ya Citizen Mashirima Kapombe kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha ya kaka yake huku akimuomboleza.

Katika ujumbe mwanahabari huyo alimtakia Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Aidha Kapombe hajafichua nini haswa alichokuwa anaugua kaka yake,mashabiki walimfariji mwanahabari huyo kwa jumbe tofauti.

"Lala salama kakangu Allasee 😭 Mola ailaze roho yako mahali pema," Aliandika Mahirima.

Mashirima anafahamika sana kupitia kazi yake ya uhanahabari.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za wanamitandao;

mukamispeaks: So sorry dear ... May God Comfort you

josevkenya,,, : May the lord comfort family and friends🙏🙏🙏 #faretheewell

sunya_joe: My heartfelt condolences and prayers during this difficult time. May God rest his soul in eternal peace. 🙌

jerutobelindah: Pole dada...nakupenda mashirima,mungu akutie nguvu❤️

catesfashionstyling254: Pole death is so cruel 😢😢may RIP