Alaa!Wanamitandao waduwaa baada ya Paula Kajala kumpa mama yake block

Muhtasari

Wanamitandao waduaa baada ya Paula Kajala kumpa mama yake block

Kajala Masanja Frida
Kajala Masanja Frida
Image: Instagram

Paula Kajala amezua taharuki katika mitandao ya kijamii baada ya kumpa mama yake block, saaa chache baada ya Frida Kajala kuacha kumpa block staa wa bongo Harmonize.

Paula anahisi uamuzi wa mama yake ulikuwa wa haraka.

Fridah alimsamehe Harmonize na mara akaacha kumfuata Rayvanny. Rayvanny na Harmonize wana ugomvi.

Walitofautiana 2021 baada ya Rayvanny kuvujisha uchi wake.

Rayvanny hata alivujisha chat za faragha za Harmonize na Paula Kajala, na kumwambia aombe msamaha kwa umma kwa kujiaibisha kwa kutuma picha zenye uchi wake kwa Paula.

Harmonize kwa zaidi ya mwezi mmoja amekuwa akijaribu kurudiana na Fridah. Alianza majaribio yake mwezi uliopita, akiweka mbago ukimtiririka.

Baadaye alianza kununua vitu vya kifahari ili kumtongoza. Hata aliomba msamaha mara nyingi.

"Siwezi kulala kwa kuwa nawaza wewe. Nimekuwa na njaa kwa sababu nilipoteza hamu ya kula kwa muda mrefu. Nakupenda na samahani. Tafadhali nirudishe,"

Lakini swali kuu ni ni kiki au