Msanii maarufu Ben Soul anaomboleza kifo cha mmoja wa wapedwa wake ambaye ni nyanyake.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instaram msanii huyo alifichua kwamba nyanya yake aliaga akiwa na miaka 103.
"Pumzika kwa amani bibi. Ninakusherehekea leo na milele zaidi. Miaka 103 ππΎππΎ!gone too soonπ .
Ben soul aliendelea kumshukuru nyanya yake kwa baraka alizomuachia.
Asante kwa upendo na baraka zako. Mpaka tukutane tena baada ya 100 au zaidi, nakupenda.β€οΈ,"Aliandika Ben Soul.
Mashabiki wake waliungana naye na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;
noni_gathoni: I’m glad I got to meet her and recieve her blessings. Rest in power shosh β€οΈ
h_arttheband: RIP shosh πππ Gone to soon fr π
wixx_mangutha: So sorry. May she rest well. ππ½ 103...wow! ππΎ
matataofficial: ποΈ ποΈ Rest in paradise Shosh sending love to you bro ππΎπ€π€π€
kate.kabi: Sending you hugs and my condolences to you and your family ♥οΈποΈ
okellomax: My condolences brother ππΎ May she rest in eternal peace