Mwigizaji Nyaboke Moraa kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amesema kwmba kwa muda sasa mama yake mzazi amekuwa akimwambia aolewe tena.
Moraa amesema kulingana na mama yake ni kuwa anapoolewa atapata mtu wa kumtunza na kumpenda.
Pia alifichua kwamba mama yake amekuwa akimpa shinikizo aweze kuolewa tena.
"My mum keeps on telling me that I need to get married again......citing that I need a man for security na nikigonjeka ama nikitaka kubembelezwa.nipate mtu ananishughulikia.Huyu mama aniwachishe,"Aliandika Nyaboke.
Mwigizaji huyo mekuwa akiwashauri mashabiki wake kila mara kwa jambo moja au lingine.
Mwishoni mwa mwaka wa 2021 mwigizaji huyo alidai kwamba anamtaka mwanamume maishani mwake.
Baada ya kufichua kile mama yake amekuwa akimwambia, mashabiki hawakulaza damu bali walitoa hisia tofauti na hizi hapa baadhi ya hisia zao;
Kamauwairimu: Mom is right love can find you anytime at any age, , all thw best
Mily: Marriage is not for all bora si unawatoto shida zingine ni za kujitakia akothee asiwapee pressure😂
Pretty: 😂😂😂 she is a caring mum...
Wangwejr: Sasa come in box tuongelee hiyo maneno ya mom! It's a high time to get it straight mrembo.
Kimani: sikiza mum weeuwe olewa acha kuwa gaindi
Cliformagata: Ulimwambia watu kama wewe kupata bwana ni ngumu....