Zuchu asimulia jinsi anavyopenda mziki wa Taarab kuliko Bongo

Zuchu ametaja mdudo na utunzi wa muziki wa Taarab kuwa bora zaidi ya ngoma zote

Muhtasari

•Zuchu mbali na kuwa msanii wa Bongo ametaja kupenda muziki wenye kuelimisha na pia  mdudo wa kuigwa

Zuchu na mtunzi wa nyimbo za Taarab Khadija Kopa

Msanii na nyota wa muziki nchini Tanzania amefunguka na kusimulia jinsi anavyopenda muziki wa Taarab kuliko muziki anaoufanya wa Bongo Flava.

Zuchu ambaye anafahimika sana kwa wimbo wake "Honey'' ameutaja wimbo wa Taarab kama wimbo wenye maneno  yenye maana fiche ambayo kila mwanadamu hanastahili kuyapata akisimulia kulelewa kwa familia ambayo muziki wa Taarab umetawala.

"Napenda sana kuiga mfano wa muziki wa Taarab kila mara ninapokuwa kwenye starehe zangu nyimbo za taarab ndizo napenda sana zina maneno mazuri ambayo yanampa mwanadamu mwongozo wa maisha na pia kuelimisha ". alisema Zuchu.

Msanii huyu alisimulia kwenye mahojiano ya moja kwa moja jinsi ufuraishwa na mdudo wa nyimbo za taarab akisema kuwa nyimbo zake za Bongo pia kwa wakati mmoja zitahiga binu hii.

Khadija Omari  Kopa   mwimbaji wa muziki wa Taarab na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania ndiye mamake mzazi zuchu ambaye msanii huyu wa bongo alimtaja kufurahishwa na utunzi wa maneno ya heshima kupita muziki wa Taarab.

"Utunzi wa nyimbo mara mingi napenda  kuinga mfano wa Taarab mfano ukiwa kwenye ngoma zangu baadhi dezi usokotwa kwa  mdudo  tukifuata mfano wa Taarab". alisema msanii huyu.