Stivo Simple Boy awazuzua wakenya mtandaoni kwa kizungu chake

Stivo aliwashauri mashabiki wake na kuwahimiza kumwomba Mungu, kufanya kazi kwa bidii na kufanya kazi yao vyema.

Muhtasari

•Alitoa jibu lisilo sahihi Pia alibainisha kuwa hangekuwa na raha kuwa na mwanamke ambaye anatengeneza pesa nyingi kuliko yeye .

STEVO SIMPLE BOY.
STEVO SIMPLE BOY.
Image: Instagram

Mwimbaji Stivo Simple Boy amewasisimua mashabiki baada ya kujaribu kuzungumza Kiingereza wakati wa mahojiano.

Stivo Simple Boy alikuwa kwenye mahojiano ambapo alijipa changamoto ya kuwasiliana kwa Kiingereza, lakini mambo hayakwenda sawa kama ilivyotarajiwa.

Mwimbaji huyo alikuwa kwenye mahojiano katika mtandao wa TikTok na @Kingbzzyszn, akijibu maswali ambayo yanahitaji majibu kwa  haraka.

Alitoa jibu lisilo sahihi Pia alibainisha kuwa hangekuwa na raha kuwa na mwanamke ambaye alikuwa akitengeneza pesa nyingi kuliko yeye .

Kisha Stivo aliwashauri mashabiki wake na kuwahimiza kumwomba Mungu, kufanya kazi kwa bidii na kufanya kazi yao vyema

baadhi ya wanamtandao walitoa maoni tofauti:

  @celestine_mumbua said: "Level one, I swear I did not laugh.

@queen Rumy said: "I swear he said I will feel berry bad."

 @Collins said: "Tanzania is where you belong Stivo."

@bulldozer said: "Bro us honest though. Level one."

@Victor Limo said: "English is not his passion.”

@i.am. Kiara said: "I remember my ex telling me nang'oa kama Stivo."

@eazzy said: "I don't know why you guys can't tap into his funny nature and produce content, he should be doing these clips not music."

@M said: "But he started with confidence."

@Kish said: "Red flags zilianza time alisema 'at what'