Mwana wa kwanza wa Wizkid, Boluwatife Balogun, amezua gumzo kwa watu wengi mtandaoni baada ya kuonekana akinyoa nywele zake kutoka kwa kinyozi maarufu nchini Uingereza.Mwana wa kwanza wa Wizkid, Boluwatife Balogun, amezua gumzo kwa watu wengi mtandaoni baada ya kuonekana akinyoa nywele zake kutoka kwa kinyozi maarufu nchini UingerezaKwa mujibu wa taarifa, kinyozi huyo hutoza zaidi ya Sh418k pesa za Kenya kwa huduma ya kunyoa mara moja kutoka kwa wanasoka mashuhuri.
Kinyozi maarufu wa Uingereza HD Cutz aliyezaliwa Sheldon Edwards ni kinyozi wa kizazi cha tatu kutoka Uingereza na Jamaika ambaye amekuwa akinyoa nywele tangu akiwa na umri wa miaka kumi na sita.Katika ukurasa wake wa Instahram, ni dhahiri kwamba wateja wake wa kawaida ni pamoja na wanariadha na watu mashuhuri kama Usain Bolt, Paul Pogba, Popcaan, Raheem Sterling na Karim Benzema.
Pia anatengeneza nywele kwa wanasoka wengine kama, Haaland, Jude Bellingham, Reece James, Vinicius, Rudiger, Phoden, Alaba, Sancho Willian, Riyad Mahrez, Obafemi Akanji, Wizkid, Burna Boy, Jesus, Aubameyang, Kante, Camavinga na wengine.Hata hivyo, katika picha inayovuma mtandaoni, mtoto wa Wizkid Boluwatife alionekana akiwa ananyoa nywele safi nyumbani kwa baba yake nchini Uingereza kutoka kwa kinyozi huyo aliyealikwa nyimbani na babake.
Hali hii ilizua taharuki mitandaoni, huku wanamtandao wengi wakirejea kwa Mungu, wakimuomba awaondolee njaa na umaskini maishani. Tazama post ya mtoto wa Wizkid akinyolewa nywele kutoka kwa kinyozi wa Uingereza hapa chini
Kwa mujibu wa taarifa, kinyozi huyo hutoza zaidi ya Sh418k pesa za Kenya kwa huduma ya kunyoa mara moja kutoka kwa wanasoka mashuhuri.
Kinyozi maarufu wa Uingereza HD Cutz aliyezaliwa Sheldon Edwards ni kinyozi wa kizazi cha tatu kutoka Uingereza na Jamaika ambaye amekuwa akinyoa nywele tangu akiwa na umri wa miaka kumi na sita.
Katika ukurasa wake wa Instahram, ni dhahiri kwamba wateja wake wa kawaida ni pamoja na wanariadha na watu mashuhuri kama Usain Bolt, Paul Pogba, Popcaan, Raheem Sterling na Karim Benzema.
Pia anatengeneza nywele kwa wanasoka wengine kama, Haaland, Jude Bellingham, Reece James, Vinicius, Rudiger, Phoden, Alaba, Sancho Willian, Riyad Mahrez, Obafemi Akanji, Wizkid, Burna Boy, Jesus, Aubameyang, Kante, Camavinga na wengine.
Hata hivyo, katika picha inayovuma mtandaoni, mtoto wa Wizkid Boluwatife alionekana akiwa ananyoa nywele safi nyumbani kwa baba yake nchini Uingereza kutoka kwa kinyozi huyo aliyealikwa nyimbani na babake.
Hali hii ilizua taharuki mitandaoni, huku wanamtandao wengi wakirejea kwa Mungu, wakimuomba awaondolee njaa na umaskini maishani. Tazama post ya mtoto wa Wizkid akinyolewa nywele kutoka kwa kinyozi wa Uingereza hapa chini