logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Baadhi ya wasanii waliovuma ambao walitumbuiza katika hafla ya Jamhuri Day

Sherehe za 61 za Jamhuri zilifanyika Alhamisi katika bustani la Uhuru Gardens, jijini Nairobi.

image
na Samuel Mainajournalist

Mastaa wako14 December 2024 - 08:53

Muhtasari


  • Gidi Gidi na Maji Maji ni miongoni mwa wasanii waliovuma ambao walitumbuiza katika hafla ya Jamhuri ya mwaka huu.
  • Wasanii waliovuma walichaguliwa kutumbuiza Wakenya katika hafla za Jamhuri Day za mwaka huu.