logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Jinsi Vilabu Vikubwa EPL Vimepangwa Kwenye Raundi Ya Tatu Ya Kombe La FA

Mechi hizo zitachezwa katika iwkendi ya Januari 11 hadi 12 mwaka 2025 na Arsenal watamenyana na Manchester United.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki04 December 2024 - 07:28

Muhtasari


  • Mechi hizo zitachezwa katika iwkendi ya Januari 11 hadi 12 mwaka 2025 na Arsenal watamenyana na Manchester United.
  • Kwa mwaka wa pili mfululizo, Arsenal watamenyana kwenye raundi ya tatu ta FA dhidi ya timu kubwa, baada ya kumenyana na Liverpool Makala ya mwaka jana.
  • Mechi nyingine ambayo itakutanisha vilabu vinavyoshiriki ligi ya premia msimu huu ni Aston Villa dhidi ya West Ham.



RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved