logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mataifa ya Afrika yaliyoongozwa na marais wanawake

Netumbo Nandi-Ndaitwah ndiye rais mpya wa Namibia baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika kati ya Novemba 27-30 na kuwa mwanamke wa kwanza rais nchini humo.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki05 December 2024 - 16:14

Muhtasari


  • Taifa jirani la Tanzania linaongozwa na rais mwanamke, Samia Suluhu Hassan.
  •  Suluhu aliapishwa kama rais Machi 2021 kufuatia kifo cha aliyekuwa rais, John Pombe Magufuli.



RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved